The Uongozi Wa Kiroho Podcast
uongoziwakiroho
Overview
Episodes
Details
Ushauri wa kiutendaji na mafundisho ya kibiblia kusaidia kukidhi mahitaji ya Viongozi wa Kiroho
Recent Episodes
MAY 18, 2023
Tulee Wengine Wawe Nasi Katika Uongozi
Mchungaji Cyprian Michael anatushauri juu ya uongozi wa familia na uongozi kanisani katika podcast hii. Badala ya kuongoza tukiwa peke yetu, anatuhimiza kulenga watu wenye sifa na uwezo wa kuongoza na kuwaandaa ili wawe bega kwa bega pamoja nasi kati...
8 MIN
MAR 20, 2023
Tufanye Uanafunzi!
Mchungaji Emmanuel Mwankasole kutoka Dodoma, Tanzania anatukumbusha juu ya umuhimu wa kufanya uanafunzi. Baada ya kujibu swali la msingi "Kwa nini tufanye?" yeye anaendelea kutoa mafunzo mazuri sana kwa ajili ya viongozi, namna ya kufanya uanafunzi n...
20 MIN
FEB 5, 2023
Afya Ya Kiroho
Kiongozi D. Kitang'wa anatushauri kuhusu afya katika mwili wa Kristo. Ili afya ya kiroho iwe nzuri, inabidi sisi tulio viongozi wa kiroho tufundishe watu wetu vizuri. Haitoshi tu kuwafundisha kuepukana na dhambi ambazo zimekatazwa na Mungu katika Nen...
9 MIN
DEC 3, 2022
Kanuni Muhimu - Seh. 1
Sisi sote tuna mawazo yetu juu ya kanisa na uongozi katika kanisa, lakini mawazo yetu siyo sawa. Ni kwa sababu tumeathiriwa na mila na utamaduni pamoja na uzoefu wetu tangu utoto. Kuna aina mbalimbali za makanisa na namna tofauti tofauti za uongozi k...
16 MIN
OCT 15, 2022
Kulea Viongozi Wengine
Mzee Smith anazungumza na mchungaji ambaye, pamoja na kuongoza kanisa na kufanya huduma nyingine nyingi, anaweka mkazo katika kazi muhimu ya kulea viongozi wengine. Sikiliza mashauri yake namna ya kutambua viongozi wa siku zijazo na jinsi ambavyo mch...
12 MIN
See all episodes