FradoFx Podcast
fradofx
Overview
Episodes
Details
Hii ni podcast number 1 Tanzania inayozungumzia biashara ya forex kiundani, BIASHARA ambayo imefichwa kwa watu wachache na mabenki
Recent Episodes
DEC 30, 2022
#12 : Utaratibu wa kujifunza biashara ya forex na kuielewa
Je unataka kufaidika kupitia biashara hii kubwa zaidi duniani ?Karibu katika Darasa letu PIGA 0754958520
5 MIN
OCT 29, 2022
11: Je indicators zinaweza kukusaidia kutengeneza faida katika forex ?
Indicators ni moja ya vitu ambavyo vinachanganya sana katika forex,katika episode hii tutakupa mbinu sahihi kuhusu indicators
9 MIN
OCT 28, 2022
#10: Ipi ni strategy bora zaidi katika forex
Najua wote tunapenda kutengeza pesa katika forex, lakini changamoto kubwa ni kubadili strategy kila siku, Sikiliza episode hii yote na utajifunza kitu kikubwa sana
6 MIN
OCT 28, 2022
#9: Mbinu 4 za kufahamu forex haraka
Ilinichukua zaidi ya mwaka katika forex kuwithdraw faida ya mara ya kwanza, hii ni kwasababu sikufaham mbinu za kujifunza na kuelewa kwa haraka, Usiwe kama mimi jifunze katika episode hii, WhatsApp 0754958520
5 MIN
OCT 24, 2022
#8: Makosa 5 yanayofanywa na traders wengi
Hivi unajua kuwa kuna baadhi ya makosa madogo madogo ambayo yanaweza kukuangusha katika biashara hii , usirudi nyuma tena sikiliza episode hii tena na tena
9 MIN
See all episodes