The Onesmo’s Meaning
Onesmo Mathias
Overview
Episodes
Details
Onesmo’s Meaning ni Podcast Cast Inayozungumzia Maisha Mazingira Pamoja na Jamii kwa Ujumla Lengo ni Kupata Uhalisia Mambo Mbalimbali ili Kuwekaza Kuoberesha Maisha Yetu ya Kila Siku.
Recent Episodes
JUL 28, 2020
Shadow(vulnerability) enye kasoro
Vulnerability (enye kasoro) kasoro ni sehemu ya maisha yetu lakini tumekua hatukubaliani nazo na kutufanya tukose maisha yenye maana.Tuwaze kwa sauti nini kitatokea tukificha kasoro zetu.
22 MIN
JUL 25, 2020
Kivuli (Utu) Shadow
Kivuli Utu(shadow) namna utu wako unavyotengenezwa na kukufanya mtumwa wa maisha yako
23 MIN
JUL 23, 2020
Choose pain over pleasure ( changua maumivu kuliko raha)
Katika maisha ya kawaida maumivu na raha vinatakiwa kuwa katika uwiano lakini ili uweze kuvuka mtari wa kawaida lazima uchague kuumia ili uweze kufanikiwa
9 MIN
JUL 23, 2020
Uelewa (understanding)
Ili tuweze kuleta tija katika mazungumzo yoyote either ni ya watu wa wili au kikundi cha watu haya ndio ya kuangalia .
8 MIN
JUN 26, 2020
Onesmo’s meanings
Podcast hii ni mtayarisho kipindi ambacho kitakua kikizungumzia mambo yanoyohusu kujitambua pamoja na mazingira
0 MIN
See all episodes