<description>Kuna misemo kwamba pesa ni sabuni ya roho, pesa ndizo chanzo cha maovu yote na kadhalika. Je, ni kweli kuwa mwanaume anapopata pesa mienendo yake hubadilika? Kwamba wanajiburudisha mno kwa vileo, kuwa na wapenzi wengi wa kike, kuoa mke mwingine na kadhalika. Tumezungumza na wananchi.</description>

Vijana na Mapenzi

The Standard Group PLC

Tabia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast

OCT 20, 20225 MIN
Vijana na Mapenzi

Tabia za mwanaume mwenye pesa | Vijana na Mapenzi Podcast

OCT 20, 20225 MIN

Description

Kuna misemo kwamba pesa ni sabuni ya roho, pesa ndizo chanzo cha maovu yote na kadhalika. Je, ni kweli kuwa mwanaume anapopata pesa mienendo yake hubadilika? Kwamba wanajiburudisha mno kwa vileo, kuwa na wapenzi wengi wa kike, kuoa mke mwingine na kadhalika. Tumezungumza na wananchi.