Video ya Ripoti Maalum ya CNN Kuhusu Mauaji ya MAELFU Nchini Tanzania [Tahadhari: Inaumiza Mno!]

Kituo cha runinga cha kimataifa cha CNN kimechapisha ripoti kamili ya mauaji yaliyofanywa na Samia Suluhu Hassan kuanzia Oktoba 29 mwaka huu hadi sasa.

Tahadhari ni kwamba video husika INATISHA, INASIKITISHA na INATIA HASIRA.

MENGINEYO

Get full access to Barua Ya Chahali at www.baruayachahali.com/subscribe