5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10)

JAN 13, 202340 MIN
Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu - Njia ya tahadhari kwako katika kumpokea Roho Mtakatifu

5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10)

JAN 13, 202340 MIN

Description

Ikiwa unahitaji kuwa na usharika na Roho Mtakatifu kwanza kabisa lazima uelewe kwamba dhambi iliyo ndogo kabisa mbele ya Mungu inatosha kutokufanya usharika na Mungu. Unaweza kudhani “Sasa itawezekanaje mtu asiwe na dhambi hata kidogo mbele ya Mungu?” Lakini ikiwa kweli unatamani usharika na Bwana basi lazima pasiwepo na kiza moyoni mwako. Hivyo ili uwe na usharika na Bwana, unahitajika kujua kwamba lazima uamini Injili ya ukombozi na kujitakasa dhambi zako zote. https://www.bjnewlife.org/https://youtube.com/@TheNewLifeMissionhttps://www.facebook.com/shin.john.35