3. Fredrick Charles | Maana ya Maisha na Umuhimu wa Amri za Mungu na Mpango Wake

JUL 19, 202478 MIN
MAISHA na Koleman Thompson

3. Fredrick Charles | Maana ya Maisha na Umuhimu wa Amri za Mungu na Mpango Wake

JUL 19, 202478 MIN

Description

Katika kipindi hiki, Fredi na mimi tulizungumzia maana ya maisha kidini na kijamii. Fredi ni rafiki yangu mpya hapa Tanzania. Yeye ni mtu mwema sana na ana mawazo mazuri mengi kushiriki. Anapenda Mungu sana na pia anafuatilia mambo ya siasa na mpira. Tuliongea kuhusu mpango wa Mungu na umuhimu wa kupenda wengine katika maisha yetu. Alisimulia matokeo machache ya maisha yake pia. Mfurahie!