5. Mwalimu Vinold John | Utamaduni na Lugha ya Waswahili

AUG 15, 202456 MIN
MAISHA na Koleman Thompson

5. Mwalimu Vinold John | Utamaduni na Lugha ya Waswahili

AUG 15, 202456 MIN

Description

Vinold John ni mwalimu bora kabisa na nimefurahi kujifunza kutoka kwake mara kwa mara kwenye progamu hii hapa Tanzania. Anapenda sana kufundisha kuhusu utamaduni na lugha ya Waswahili. Katika kipindi hiki, tulizungumza mawili matatu kuhusu mada hizo, pamoja na umuhimu wa subira katika maisha yetu. Furahie! Ukitamani kujifunza kutoka kwa mwalimu Vinold, unaweza kumkuta kwa njia zifuatazo: Email - [email protected] Whatsapp - +255 756 704 834 Podcast - Bonga Language School Instagram - bonga_language_school