6. Lizbeth Leonard | Maisha ya Vijana wa Tanzania

AUG 25, 202453 MIN
MAISHA na Koleman Thompson

6. Lizbeth Leonard | Maisha ya Vijana wa Tanzania

AUG 25, 202453 MIN

Description

<p><strong>Lizbeth Leonard ni mtu mzuri sana ambaye anampenda Mungu na familia yake sana. Nilibarikiwa sana kuishi na yeye na familia yake wakati ambao nilikuwa Tanzania. Aliboresha maisha yangu sana kwa mfano na maneno yake. Kwenye kipindi hiki, tulizungumza sana kuhusu maisha ya vijana wa Tanzania (ikijumuisha umuhimu wao, changamoto zao, na utatuzi kwa changamoto zao). Natumaini kwamba wengine watafaidika kutokana na mazungumzo haya.</strong></p>