<description>&lt;p&gt;Nchi za Afrika Mashariki za Kenya, Uganda na Tanzania, zimeendelea kushuhudia ongezeko la visa vya wakosoaji wa serikali kutekwa na kupotezwa. Hivi karibuni, wanaharakati wawili kutoka nchini Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo walitekwa zaidi ya mwezi mmoja uliopita nchini Uganda, baada ya kuhudhuria kampeni za uchaguzi za Bobi Wine, waliachiwa baada ya shinikizo za watetezi wa haki za binadamu. Nani atakomesha utekaji ?&lt;/p&gt;</description>

Wimbi la Siasa

RFI Kiswahili

Nini suluhu ya utekaji wa watu katika nchi za Afrika Mashariki ?

NOV 12, 2025-1 MIN
Wimbi la Siasa

Nini suluhu ya utekaji wa watu katika nchi za Afrika Mashariki ?

NOV 12, 2025-1 MIN

Description

Nchi za Afrika Mashariki za Kenya, Uganda na Tanzania, zimeendelea kushuhudia ongezeko la visa vya wakosoaji wa serikali kutekwa na kupotezwa. Hivi karibuni, wanaharakati wawili kutoka nchini Kenya, Bob Njagi na Nicholas Oyoo walitekwa zaidi ya mwezi mmoja uliopita nchini Uganda, baada ya kuhudhuria kampeni za uchaguzi za Bobi Wine, waliachiwa baada ya shinikizo za watetezi wa haki za binadamu. Nani atakomesha utekaji ?