Kenya: Yaadimisha miaka 63 ya uhuru wake

OCT 20, 2026

Description

Taifa la Kenya linaadhimisha miaka 63 ya kuwakumbuka mashujaa waliopigania uhuru wa taifa hilo Tunakuuliza ni njia ipi sahihi ya kuwakumbuka wote waliopigania uhuru barani Afrika ?   Skiza makala.