Description
Epuka maumivu
Mda mwingine tunakuwa kwenye mahusiano na watu wasio sahihi bila ya kuelewa. Na wengine tunaziona dalili na tunazipotezea kwa sababu ya kupenda mno.
Hivyo kama utaona dalili hizi kwa mpenzi wako au mtu anayekutaka kimapenzi basi Kuwa makini ongea naye mapema na kama hatabadilika ondoka kwenye hayo mahusiano.
Kwa maoni na ushauri nchek Instagram