Vyakula hatari kwa afya ya ngozi yako

NOV 18, 20219 MIN

Description

Mlo ni chanzo cha ngozi yenye mvuto. Hivyo ni vema ukazingatia mlo ili kuwa na ngozi yenye afya.  Leo nitazungumzia kuhusu vyakula hatari kwa ngozi yako hivyo kuwa nami mwanzo mwisho  Kwa maoni na ushauri nchek Instagram . Tembelea hapa kwa ajili ya YouTube, ebooks, elimu ya ufugaji wa samaki, matatizo ya ngozi , blogs na mengineyo https://linktr.ee/Shula_missbusiness