MSASA Podcast

Elisha Simon

Tunatembea na Hofu ya PESA

SEP 27, 202661 MIN

Description

Send us Fan Mail   Pesa ni sehemu ya maisha yetu kila siku. Tunaitafuta, tunaipangia mipango, tunaitumia, na kila wakati… tunaiwazia. Lakini hofu hii ya pesa inatoka wapi? Na kwa nini pamoja na kufanya kazi, kupata kipato na kujaribu kupanga maisha yetu, bado pesa inabaki kuwa chanzo cha mawazo na stress? Kwenye episode hii, Mr. Emmanuel Yaredi Mahodanga, Banker na Head of Personal Banking, anatupa mtazamo wake kuhusu pesa akiwa upande wa ulimwengu wa banking, huku tukigusa na kujibu baadhi ya maswali ambayo sisi watu wa nje tumekuwa nayo kuhusu pesa na washika pesa. Ni mazungumzo kuhusu pesa, lakini pia ni mazungumzo kuhusu maisha yetu, namna pesa inavyogusa maisha hayo, na jinsi benki inaweza kutusaidia kupunguza hofu hiyo ya pesa. Karibu MSASANI. 🎙️ #MSASAPodcast #TunatembeaNaHofuYaPesa #EmmanuelYarediMahodanga #Pesa #Banking #MoneyTalks #FinancialWellness #MSASAPodcast  Host: Hisia Instagram:   / hisiatz   MSASA PODCAST 🎙 Website: https://neiked.co.tz/msasa/ Follow the MSASA Podcast on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... Available on all streaming platforms.