MSASA Podcast

Elisha Simon

UMAARUFU BILA PESA - MSASA NA MZEE SHAYO

OCT 21, 202694 MIN

Description

Send us Fan Mail Maisha ya sanaa yana mambo mengi, na kwa bahati mbaya, mengi hatuyaoni mbele ya hadhira. Tunachokiona mara nyingi ni kile tu ambacho mastaa tunaowapenda wanakifanya, na sisi ku-enjoy kazi zao. Lakini nyuma ya pazia, maisha hayana script na kwa asilimia kubwa sana wote tunafanana. Maxwell Wilfred Machange ni mchekeshaji aliyedumu takribani miaka kumi kwenye kiwanda cha sanaa Tanzania. Tumebahatika kupiga naye stori kuhusiana na uchekeshaji na sanaa kwa ujumla. Kwa kweli, MSASA wake umekaa kama wa mwanataaluma wa burudani zaidi ya mchekeshaji tu. Na wewe mtazamaji, jitahidi kuisikiliza episode hii katika sikio la maisha yako na mihangaiko yako ya kila siku, tunaamini utapata MSASA. Karibu MSASANI. 🎙️ #MSASAPodcast #MaxwellWilfred #MzeeShayo #SanaaNaMaisha #Vichekesho #ComedyTanzania #ContentCreators #SwahiliPodcast Host: Hisia Instagram: @hisiatz MSASA PODCAST 🎙 Website: https://neiked.co.tz/msasa/ Follow MSASA Podcast on WhatsApp: https://whatsapp.com/channel/0029VaFg... Available on all streaming platforms.