SE02 EP04: Utalii wa Uwajibikaji; Siri ya Uzoefu Bora Kwa Watalii na Uhifadhi Endelevu
Sikiliza kipindi maalum uweze kufahamu umuhimu wa kufanya utalii wa kiuwajibikaji kwa Waongoza Watalii na dhima yake ya kutunza mazingira, uhifadhi endelevu, kukuza utalii pamoja na kutengeneza uzoefu usiosahaulika kwa watalii wanaotembelea Hifadhi za Taifa. Ni ndani ya TANAPA Podcast – Season 2, Episode 04, katika mazungumzo maalum kutoka kwa Waongoza Watalii wabobezi na Wahifadhi wazoefu. Jumatatu, 21.09.2026 Eneo: Arusha, Tanzania Mwongoza Kipindi: Kamishna Msaidizi wa Uhifadhi, Catherine Mbena Wageni: Chacha The Ambassador Guide Saimon Sirikwa - Mwongoza Watalii, Black Lion Safaris Limited Fred Shirima - Askari Uhifadhi Mwandamizi - TANAPA Ni mwendo wa bandika bandua! TANAPA PODCAST — HIFADHI ZETU, SAUTI YETU. #TANAPAPodcast #ResponsibleTourism #TANAPAUpdates #tànzaniaparks