Ep01: STORI NA WASHKAJI: Kazi ya ndoto yako.

APR 13, 202440 MIN

Description

#WashkajiTunaongea! Kuhusu Siri za Mafanikio Kazini, Ujuzi wa ziada mbali na taaluma, Maandalizi ya Kustaafu na mengine kadhaa kwa ajili ya Kazi ya ndoto yako!. #WashkajiDrivingPodcast #washkajiPodcast #Mvumbagumo #SwahiliPodcast