UBALOZINI LEO: UVUMI KUHUSU VIZA YA KUINGIA NCHINI MAREKANI

FEB 22, 202415 MIN

Description

Una ndoto au Unahitaji kuingia nchini Marekani? Kuna Uvumi mwingi unasambaa kuhusu namna au njia sahihi ya kupata Viza ya Kuingia Nchini Marekani, Kupitia Podcast hii, tumekuletea afisa wa Ubalozi anayeshughulika na masuala ya Visa akitoa ufafanuzi kamili.